Wednesday 3 October 2018

Nairobi Yetu [Lyrics]

Intro:
Aha,
Muki-Rai

Nairo, Nairobi/
Nairo, Nairobi/

Cheki!

Verse 1:
Karibu kwa hili jiji, the ugly side of the city/
Mahali ufisadi huvaa suti na huku itikadi zinaudhi/
Watu huku hufuata njia panda hawaogopi kupasuka msamba zi/
Hawaoni ikiwa risky inabidi watafute riziki/
Ukitarajia kuajiriwa ki-utani unaeza-suffer doom/
Kwa sababu, ya kukosa connections ile design ya server room/
Ukitafuta kazi usiwe na hopes high za kupata hefty package/
Kwa kampuni mingi huku hivi, minimum wage ni rite ya passage/
Kumbuka kuambia Mola abariki mwenye atakuunganisha/
Consequence ya kupata wera moja ni kucheleweshewa mndesha/
Terms za working conditions hu-overlook underlying factors/
Overworked underpaid oh, inakuwanga on purpose/
Status quo ni bila bonus, yuukuwa ni quid-pro-quo bro/
Ati unataka pro bono boss jo hiyo ni No No/
Hadi ile siku ntapata kitambi huskii siwezilala unono/
Kwa hivo kindly, meet your end of the bargain pronto/

Hook:
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Hakuna kitu ngumu ka kupata J.O.B. Nairobi/
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Hakuna kitu ngumu ka kupata J.O.B. Nairobi/

Verse 2:
Usiwacheke wakiwa mawaya kama ni haga unaramba/
Maanake Kenya inflation pori za watu inaperemba/
Ni serikali inawatenda, ndo maana sa me napenda/
Ku-monitor yangu expenditure na kui-balance na budget/
Sijawahi weka mayai zangu zote kwa moja basket/
Niko na task za ku-accomplish, kabla niwekwe kwa casket/
Na bila uta wala mishale niko ithaa ya kuhit targets/
Zote zile nime-set yeah, zote zile nime-set/
For now me staki cryptocurrency siwezienda nayo shopping/
Zangu ni sarafu na noti, Satoshi hazitoshi/
Niko on the move daily jo, ni-make sure sisoti/
Ndo nikipatwa na mahitaji pia nihakikishe sikopi/
Wanasiasa ni insincere, nikiwaskia ntasinzia/
Zao hotuba ukizubaia niko harakati ya kutafuta shamba/
Yenye mchanga una rotuba, napalilia, fruits za labor/
yangu, fruits zangu za labor yeah! /

Hook:
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Hakuna kitu ngumu ka kupata J.O.B. Nairobi/
Nairo, Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Nairo, hii Nairobi yetu/
Hakuna kitu ngumu ka kupata J.O.B. Nairobi/

No comments:

Post a Comment